LUGOBA/AINA YA KIGAE
Hii ni aina ya Bati ambayo hufananishwa na Muundo wa kigae kwa sababu ya mikunjo yake, watu wengi wamekalili kuwa Kigae ni Lazima kiwe kipande kimoja kimoja kama vile vya zamani, teknolojia imebadilika kwa Sasa tuna Aina ya Kigae ambayo Iko kama Bati ya kwaida kuisogelea japo ukiiezeka kwa juu wengi wanaweza Dhani Umeweka vipande vipande.
Sisi Tunapatikana Dar es salaam lakini pia tunasafirisha Mikoa yote Tanzaia Bure.
KUWASILIANA NASI BONYEZA ALAMA YA WHATSAPPπ


Comments
Post a Comment